an online Instagram web viewer
BARCELONA YAMSHTAKI NEYMAR KWA KUHAMIA PSG

Barcelona imesema inamshtaki aliyekuwa mshambuliaji wake Neymar kwa kitita cha £7.8m kufuatia uhamisho wake katika klabu ya PSG nchini Ufaransa.
Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Brazil alivunja rekodi ya uhamisho kwa kitita cha £200m kwa timu hiyo ya Ufaransa mnamo mwezi Agosti baada ya kununua kandarasi yake katia klabu ya Barcelona .
Barcelona sasa inamtaka kurudisha marupurupu aliyopewa baada ya kutia saini kandarasi mpya ya miaka mitano miezi tisa pekee kabla ya kulazimisha uhamisho huo.
''Klabu inataka mchezaji huyo kurudisha marupurupu aliyolipwa kwa kuwa hakumaliza kandarasi yake'', ilisema taarifa.
Mbali na Yuro milioni 8.5 za marupurupu, klabu hiyo pia inataka kulipwa asilimia 10 ya fedha hizo kwa kuchelewa kulipwa.
#bbc

BARCELONA YAMSHTAKI NEYMAR KWA KUHAMIA PSG Barcelona imesema inamshtaki aliyekuwa mshambuliaji wake Neymar kwa kitita cha £7.8m kufuatia uhamisho wake katika klabu ya PSG nchini Ufaransa. Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Brazil alivunja rekodi ya uhamisho kwa kitita cha £200m kwa timu hiyo ya Ufaransa mnamo mwezi Agosti baada ya kununua kandarasi yake katia klabu ya Barcelona . Barcelona sasa inamtaka kurudisha marupurupu aliyopewa baada ya kutia saini kandarasi mpya ya miaka mitano miezi tisa pekee kabla ya kulazimisha uhamisho huo. ''Klabu inataka mchezaji huyo kurudisha marupurupu aliyolipwa kwa kuwa hakumaliza kandarasi yake'', ilisema taarifa. Mbali na Yuro milioni 8.5 za marupurupu, klabu hiyo pia inataka kulipwa asilimia 10 ya fedha hizo kwa kuchelewa kulipwa. #bbc 

5 Comments:

 1. maniger_tz

  Ndio. Nn. Wamuache kijanaa wawatu apige boll

 2. jofreyvisent

  Wanaweweseka

 3. christophebinjohn

  Tatizo iliyochangia hapo ni pale kupigwa nenda rudi na kaka yao mkuu #realmadrid . ndo hasira ilipo panda ili watulie

 4. official_mbuta_mask_

  @efmtanzania inakuaje hapo mjengoni nawakubali sn naombaa nipigie ngoma ya @msamibaby song @#wahenga  iwafikie wanangu wote

867 Likes (last 100 likes only):