an online Instagram web viewer
  • efmtanzania
    Muziki Unaongea
    @efmtanzania

Images by efmtanzania

@Regranned from @swebbesantana -  Namshukuru Mungu Kwa Kila hatua.. Asanteni sana @maua_association Kwa kutambua mchango kwenye jamii... asante sana @efmtanzania Kwa kunipa heshima hii... asante team nzima ya uhondo.. @dinamarious @ashamangaefm @rdj_con @sofia_amaan asanteni sana mashabiki Na wadau wangu... naendelea kupambana na naendelea #kujifunza. - #regrann
@Regranned from @swebbesantana - Namshukuru Mungu Kwa Kila hatua.. Asanteni sana @maua_association Kwa kutambua mchango kwenye jamii... asante sana @efmtanzania Kwa kunipa heshima hii... asante team nzima ya uhondo.. @dinamarious @ashamangaefm @rdj_con @sofia_amaan asanteni sana mashabiki Na wadau wangu... naendelea kupambana na naendelea #kujifunza . - #regrann 
#EfmDerby Tanganyika Packers Kawe
Mawazo wa #EfmFc akilisaka lango la #EfmJogging
Lilipo soka hakunaga utulivu. #Hatupoi #EfmDerby #EfmFc Vs #EfmJogging
Miamba ya soka kutoka #EfmJogging
Ulimwengu wa soka na vituko vyake. #Arsenal #ArseneWenger
Neno kutoka kwa Mkuu wa Vipindi Efm redio Dickson Ponella @bigdady_dizzo #UhondoDaY #Uhondo #Hatupoi
Kawaida ya Waungwana hupongezana pale mnapofikia lengo au kufanya vizur katika jambo fulani kwa kutambua mchango wa kila mmoja anaesaidia kukikamilisha kipindi cha #Uhondo kinakamilika. #UhondoDaY #Uhondo #LivekutokaMsasaniBeachClubkawe
"Haikuwa kazi rahisi kusimamisha kipindi cha Uhondo ni kipindi ambacho kinagusa kila rika katika jamii yetu Unaitaji kuchambua kila kila kitu kabla hakijakwenda hewani hasa kipengele cha #JamvilaUhondo Nikupongeze sana @dinamarious na timu yako kwa kazi nzuri mnayofanya" Mkuu wa Vipindi Efm redio Dickson Ponella @bigdady_dizzo #UhondoDaY #Hatupoi #LivekutokaMsasaniBeachClubkawe